Kerala_Meals_(2887680117)

 

1. USIU- Lemme Have Fries with Masala..Kebab and don’t forget to
Add Some coleslaw
2. KU- Waah si naskia njaa Waiter!! Waiter!! ebu Kam
haraka!! Leta Chips ile ya 30bob na Uongeze Madodo!! Afta Chipo anaongeza BlueMoon na Kuenda Lecture
3. UoN – Waiter ebu Leta Menu (analetewa menu) (Cheapest food ni Chai 90bob followed by CHIPs
Plain 150bob) uuummmh!! Waiter Niletee Maji Pliiiz (analetewa Drinks and Leaves)
4. Moi Uni – Waiter!! Good Afternoon!! Do You Have Chicken!! (Waiter-yes!!) what about Pilau with beef stew (waiter-yes!!) Ok nipee Mkarango!!
5. MAASAI MARA Uni-Anaita Waiter Buda Boss leta Wali na Nyama ya ZEBRA Fresh na ukate!! kate!! we Pilipili na supu ya Swara
6. Maseno Uni! Bwana!! Letea Mimi SAMAKI fres kutoka Lake and Ugali for two (analetewa and
complain) aii Omera this UGALI is So COLD enda weka kwa Microwave ya SAMSUNG na ulete
Maji ya kunawa Mikono YAWA!!
7. MKU- Waiter nlikua nauliza kuna Pizza?(yeah iko)… humbuggah?(ile kubwa sanah
iko..) kwa hasira hyo nletee Mukimo ya Njahi.
8. JKUAT-(Anaini gia Hoteli njaa imemmaliza) Huyo mama wa food ako wapi?? (anamwona) Mama
Chesut wapi NAMBA TATU (Chapo Tatu na Beef Stew) (Waiter-Iko Karibu kuiva utangoja kidogo)
NKKT!! WACHA IKAE I HAVE A LOT TO COVER mimi Nimeenda Kusoma ENGINEERING!!
9. KMTC- Letea Mi Mandazi surwa ya Mbao,alafu na USAMBA YAKE YOTE afta Kudema anatoka na
Toothpick kwa mdomo yet hajui alidema nyake lini mwisho
10. Egerton-Waiter leta Githeri TEKETEKE!! (analetea) aaarrgh hii food ni Dry Sana hakuna supu?? (Waiter-Imeisha) Sawa leta ile Maziwa yetu YOGO YOGO