HOW TANZANIANS REQUEST 4 SONGS ON RADIO
STATIONS:-

Ningependa unichezee nyimbo zifuatazo:-
1.Egemea nyuma ya joe mnene …….
(lean back – fat joe)

2.Mwavuli – Rihanna
(umbrella)

3.Dirisha mnunuzi – Centi hamsini..
(50cent – window shopper)

4.Fagia – Ndovu mtu
(sweep – elephant man)

5.Pahali pa utulivu – Ishara iliyo na shughuli
nyingi
(comfort zone- busy signal)

6.Obama – Chai koko
(obama – coacoa tea)

7.Nifanye – P mraba
(do me – p square)

8.Peremende – Wein mdogo
(lolipop- lil wayne)

9.Nguvu zaidi – Kanye magharibi
(stronger- kanyewest)

10.Mpenzi wangu – Alishia vifunguo
(my boo – alicia keys)

11.Chembe chembe za uzazi- Fimbo
(DNA- Fimbo)